"IF YOU WANT MORE FREEDOM FACE YOUR FEARS"
Huu ndo Ugonjwa mkubwa sana, Fear, mkuu kila mtu
ukimuuliza atakuambia anapenda sana kufanya biashara ila tatizo ni fear,
yaani mtu anashindwa biashara kabla hata ya kuifanya,
Kuingia katika Ujasirimali kunafananishwa na wale jamaa wanao vaa Mabomu na kwenda Kujilipua, ni lazima ujitoe mhanga,
Ni lazima Uchome Meli Moto, waturuki walivyo kuwa wakifika Pwan ya Mapigano enzi hizo, walikuwa wakichoma Moto meli zao zote zilizo wafikisha eneo la vita, hii ilimanisha kwamba hawana Optional nyingine zaidi ya Kushinda Vita, Why?
1. Wakishindwa bado watauwawa kwa sababu wameisha choma moto meli zao hivyo hawataweza kukimbia
- So iliwabidi washinde vita ili kuokoka, Na kweli walikuwa wanapambana kufa na kupona huku wakijua wanahitaji tu kushinda,
Katika Biashara kuna Chalengi nyingi sana, Ikiwemo kukatishana Tamaa, so unahitaji kuwatupilia mbali wale wote wanao kwamisha wewe kusonga mbele, Futa namba zao, Badili hata Namba kama ikibidi,
Utakapo kuwa unaingia kwenye Biashara utakuwa na Optional Moja tu ya Kupambana hadi tone la Mwisho, Make kule mtaani ulisha wafutilia mbali baadhi ya Marafiki, Umegombana na ndugu zako kwa sbabau ya Biashara, Umekosana na Wazazi, so ni lazima upambana kufa na kupona,
SO UNAHITAJI KUCHOMA MOTO MELI KABLA YA KUANZA SAFARI YA UJASIRIMALI
by friend of mine chasha jf member

0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home