Hakuna Ambaye Ni Msafi Kwa Asilimia Mia Moja
Katika Maisha Kuna Kitu Kuridhika. Unapokuwa
Na Mtu Ambaye Anakupa Kila Aina Ya Furaha Maishani Mwako Bila Kuonesha
Tabia Zozote Zinazokutia Mashaka Juu Ya Penzi Lake, Huyo Mpende,
Mheshimu Na Muamini, Hata Kama Kuna Uwezekano Wa Yeye Kuwa Anaficha
Makucha Yake Na Kuyachomoa Pale Anapokuwa Mbali Na Wewe, Kwa Sababu Huna
Uhakika Na Hujawahi Kumuona, Chukulia Kwamba Yeye Ni Msafi Kisha Yaache
Maisha Yenu Yaendelee Kuwepo.
Nasema Hivyo Kwa Sababu, Tukianza Kuchunguzana Hakuna Ambaye Ni Msafi Kwa Asilimia Mia Moja. Kila Mtu Anajiamini Mwenyewe
Lakini Huwezi Kuiamini Nafsi Ya Mwenzako Kwa Asilimia Zote.
Nasema Hivyo Kwa Sababu, Tukianza Kuchunguzana Hakuna Ambaye Ni Msafi Kwa Asilimia Mia Moja. Kila Mtu Anajiamini Mwenyewe
Lakini Huwezi Kuiamini Nafsi Ya Mwenzako Kwa Asilimia Zote.

0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home